FAIDA YA KUNYWA MAJI MOTO YALIYO CHANGANYWA NA LIMAO AU NDIMU
1.Huongeza kinga mwili kwa kuwa ina vitamin C.
2.Huleta hewa safi kinywani. Muhimu sana kwa wanaonuka midomo.
3.Huimarisha Mifupa.
4.Husafisha mfumo wa chakula na kuzuia tumbo kujaa gesi.
5.Hupunguza uzito kwa kuwa maji ya limao huyeyusha mafuta kwa kiasi kikubwa.
6.Huimarisha na kuchangamsha mwili.
7.Huponyesha vidonda kwa haraka kwa kuwa ina ascorbic acid.
8.Huimarisha Afya ya Macho.
Nb husaidia kupunguza hamu ya kunywa kahawa kwa kuwa siyo nzuri kiafya.
9.Hutunza na kuimarisha ngozi na kuondoa makunyanzi na kufanya kuwa na muonekano mzuri.
KWA USHAURI NA MSAADA ZAIDI KUHUSU MAGONJWA SUGU USISITE KUWASILIANA NASI KWA NAMBA 0688426300/0762291606
Asanteni.🙏
0 Comments