Subscribe Us

header ads

Huduma Ya Kwanza Kwa Mfupa Uliovunjika Kabla Ya Kwenda Hospitali.


Watu Wengi Wamekuwa Wakikosea Sana Hasa Pale Wanapohitaji Kumsaidia Mtu Ambae Labda amepata ajali na Ikatoa Amevunjika Eneo lolote Mwilini..! Hukimbilia na Kuanza Kumuweka Sawa Mtu Huyo Bila kuchukua Tahadhari Muhimu  Zitakazoweka Mifupa Yake Katika Hali Nzuri.

Iko Hivi..Usitikise mfupa uliovunjika hadi mtu mwenye uzoefu wa kunyoosha mifupa atakapourudisha katika nafasi yake na kuufunga kwenye plasta ngumu au piopio.Ili kusaidia ubaki sehemu moja bila kutikisika, tengeneza banzi kutoka kwenye kadibodi (karatasi ngumu iliyokunjwa), kipande chepesi cha ubao bapa,au kitu kingine kigumu kilichonyooka.


Leo Ni Jumatano Ya Ushauri  Natoa Nafasi Kwa Anayehitaji Ushauri[BURE] Kupiga Simu Au Kufika Ofisini Kwa Msaada zaidi Wa Masuala Ya Afya..Kumbuka Huduma Hii Ni BURE Hutolipia Hata shilingi Moja.

Piga Simu Sasa 0688426300/0762291606


Like Page   Comment   Na Share Post Hii..! 


#Afyayamifupanaviungotanzania #emmanueljiguwi #afyasuccess

Post a Comment

0 Comments