KWA NINI WASIONACHO WANAENDELEA KUA MASKINI
Kwanza kabisa hili kundi huwa linatafuta hela ndio maana hawazipati. Ni kundi linalotaka matokeo ya haraka. Hawana uvumilivu wanataka wakianza kitu kiwalipe hapohapo.
Ni kundi linaloongoza Kwa woga. Ni waoga Wa kuanza vitu vipya,kutatua changamoto wao huzikimbia hawako tayari kuumia Kwa ajili ya kesho. Hili ndio kundi unakuta limezeeka halina hata nyumba waliyojenga. Hawapendi kujifunza.
Kwa kifupi hili kundi ni watumwa Wa fedha yani fedha inawatumikisha wao.
: KWA NINI WENYE HELA WANAENDELEA KUWA NAZO
Hili kundi linakua na hela Kwa sababu wenyewe huwa wamejikita kufanya vitu ambavyo wengine hawafanyi. Wamejikita kutatua changamoto, hili kundi halitafuti hela bami linatafuta njia ya kuwasaidia wengine kisha hela zinawafuata. Hii ni kanuni ya kufanikiwa ili ufanikiwe lazima usaidie wengine kupata wanachokitaka. Ukienda kinyume huwezi kuwa na hela.
MONEY IS ATTRACTED BY THE PERSON YOU BECOME ....FEDHA INAVUTWA KUTOKANA NA JINSI UNAVYOKUA
FEDHA HAITAFUTWI BALI INATENGENEZEWA NJIA YA KUPITA.
KARIBU KATIKA MADARASA YETU YA KUJIFUNZA KUHUSU BIASHARA NA JINSI YA KUJIPATIA KIPATO ENDELEVU(BURE) TUPO
(DAR ES SALAAM) KWA MAWASILIANO PIGA 0688426300
0 Comments