HAYA HAPA MAJANGA 9 YANAYOWATESA WANAUME WENGI. UNGANA NAMI ILI UPATE UFUMBUZI WA MAJANGA HAYA SASA.
Ukosefu au upungufu wa nguvu za
kiume ni tatizo kubwa sana katika ulimwengu wa karne hii ambalo endapo halitatafutiwa ufumbuzi wa uhakika na muhusika linaweza kuyaathiri maisha yake kwa kiasi kikubwa sana pamoja na jamii inayomzunguka.
NGUVU ZA KIUME NI NINI HASWA?
Ni ile hali au Uwezo wa mwanaume kuwa na hamu na kufanya tendo la ndoa kikamilifu mpaka kumaliza bila kupata usumbufu wowote (kimwili na akili) na kufikia lengo husika ikiwemo kumridhisha mwenza wake au kumpatia ujauzito kwa wale wenye lengo la kupata mtoto.
MAJANGA YANAYOWAKUMBA WANAWAKE WENGI AMBACHO NI KIASHIRIA CHA UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
(1).KUWAHI KUFIKA KILELENI ( PRE-MATURE EJACULATION)
Ni hali inayomtokea mwanaume katika tendo la ndoa kuwahi kufika kileleni ndani ya dk moja(1) mpaka tatu(3)
(2). KUTOKUWA NA UWEZO WA KUSIMAMISHA UUME BARABARA
Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara kama msumari, lakini kwa mwanaume anayekabiliwa na tatizo hili uume
wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote.
Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa na misuli ya uume. Hii ndio inayo ufanya uume usimame barabara. Mishipa na misuli hii inapokuwa imelegea, uume hauwezi kusimama barabara hata iweje.
(3).KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Hapa mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na
msongo wa mawazo.
(4).KUTOKUWA NA UWEZO WA KURUDIA TENDO LA NDOA ZAIDI YA MARA MOJA Mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi
anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.
(5). UGONJWA WA KISUKARI AU SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA)
Watu wenye matatizo haya husumbuliwa sana na tatizo hili kwani huathiri msukumo wa damu na hivyo kuleta mshikeli.
(6). KUTOKUWA NA UWEZO WA KUTOSIMAMISHA KABISA
Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Na wakati mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja.
(7). UUME KUSINYAA NA KURUDI NDANI
Uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa.
(8). MSONGO WA MAWAZO
Mtu mwenye msongo wa mawazo au kwa lugha ya kigeni (Stress) muda wote, mambo hayendi kama unavyotaka, akili inakuwa imejazwa na mawazo mengi basi moja kwa
moja hata ule mfumo unaoratibu hisia zako kwenye suala la mapenzi unashindwa kufanya kazi vizuri.
(9).KUTOA MBEGU AMBAZO HAZINA UWEZO WA KUTUNGISHA MIMBA(LOW SPERM COUNTS)
Ni hali ambayo mwanaume anashiriki tendo la ndoa vizuri na kutoa mbegu ambazo zinakosa sifa na ubora unatakiwa kwa ajili ya kutungisha mimba..ubora wa mbegu kama wingi wa mbegu,umbile na mbegu,uwezo ndogi wa mbegu kuogelea kuelekea yai lilipo ili kutungisha mimba.
NINI KIFANYIKE ILI UWEZE KURUDI KATIKA HALI YAKO YA KAWAIDA
TUNAYO PROGRAM KABAMBE ASILI MPYA ILIYOBORESHWA KITAALAMU KWA KIWANGO KIKUBWA SANA
Program hii hufanya mambo yafuatayo:
A) Kuimarisha mishipa na misuli ya uume ulio
legea na hivyo kuurejeshea uwezo wake wa asili
B) Hutibu tatizo la uume kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto mdogo
C) Humaliza tatizo la kusimama kwa uume
ukiwa legelege
D) Hutibu na kuponya kabisa tatizo la kufika
kieleleni haraka.
E) Huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa hata baada ya raundi ya kwanza.
Program hii inaambatana na yafuatayo kuhakikisha tatizo linakwisha kabisa na unasahau mambo ya dakika moja chali.
1. Kunywa Maji mengi kila siku
2. Fanya mazoezi ya mwili mzima
3. Kula ushibe(Chakula bora)hapa ni pamoja na kuzingatia sana siyo kula vyakula unafakamia tu.
4. Jikubali kwamba una tatizo hili kisha kuwa tayari kulitatua.
KWA MAELEZO ZAIDI NA USHAURI WA HARAKA KUHUSU PROGRAM HII WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0688426300/0762291606
AU BOFYA LINK YA WHATSAPP CHINI
https://wa.me/255688426300
KARIBU SANA
0 Comments