Subscribe Us

header ads

Sababu za Wanawake Kupata Zaidi Maumivu Ya Maungio Kuliko Wanaume.


Hivi Ulikuwa Unafahamu Kuwa Maumivu Ya Mifupa Na Maungio Huwapata Zaidi Wanawake Kuliko Wanaume?. 


Katika Kesi Ambazo Nimekuwa Nikizipokea Sana Ofisini Kwangu Kuhusiana Na Maumuvu Makali Ya Mifupa Na Maungio Karibu 62% Ni Wanawake,Basi Nimeona Leo Nilitolee Jambo Hili Ufafanuzi Kuhusu Tatizo hili linalotokea sana kwa watu wazima, hasa zaidi kwa wanawake ambao wamefikia kipindi cha kukoma hedhi (menopause)Yaani  kuanzia miaka 50.

:

Ni Ukweli Usiopingika Kuwa Hiki ni  kipindi ambacho wanawake hupungukiwa na homoni yenye kazi ya kuilinda na kuikinga mifupa. Tatizo hili huwapata wanawake zaidi kwa kuwa wana mifupa midogo na myembamba kuliko wanaume. Miaka mitano (5) hadi saba (7) tangu mwanamke kukoma hedhi hupungukiwa na madini chokaa kwa asilimia ishirini (20%), zaidi ya wanaume. Kuanzia miaka 65 hadi 70 wanawake na wanaume hupoteza madini chokaa kwaasilimia sambamba.


Nadhani Sasa Umeelewa Kwa nini Wanawake Ni Waathirika Wakubwa Wa Maumivu Ya Mifupa Na Maungio..!


Karibu Pia Kwa Ushauri[ BURE] na Msaada Zaidi Kuhusu Afya Yako Piga Simu Sasa 0688426300/0762291606


Comment Kisha Share Habari Hii Njema Iwafikie Wanawake Wengi Zaidi Si Unajua Hawa Ndio Mama Zetu, Kwani Ni Nani Kama Mama?Jibu Unalo Mwenyewe..!


#emmanueljiguwi #Afyayamifupanaviungotanzania #Maumivu #Kiuno #Mgongo #Nyonga #Magoti

Post a Comment

0 Comments