Subscribe Us

header ads

JINSI YA KUONDOA MICHIRIZI KWENYE NGOZI YAKO IWE NA MWONEKANO MZURI WA KUVUTIA.


ZIFAHAMU NJIA ZA KUONDOA MICHIRIZI KWENYE NGOZI YAKO IWE NA MWONEKANO MZURI WA KUVUTIA.


Strech marks/michirizi ni alama zinazojitokeza kiunoni, mapajani, kwenye makalio, kwenye matiti na mikononi. 


•Huwapata mara nyingi kina mama kipindi cha ujauzito, pale mwili unapotanuka, mabadiliko ya homorne, au kipindi cha kupevuka na hata kipindi mtu anaponenepa.

Wakati mwingine hutokana na madhara ya kunywa madawa ya aina fulani, au ukipaka mafuta, au krimu fulani kali kwenye ngozi, pia zinaweza changia uharibifu wa ngozi na kusababisha michirizi hiyo {Stretch marks}.


 The good thing ni kuwa, huu si ugonjwa na unaweza kuondoa michirizi hiyo au kupunguza kwa asilimia kubwa muonekano wake.


Nakuonesha ni jinsi gani unaweza kutengeneza wewe mwenyewe tiba ya asilia nyumbani kwa kutumia malighafi asili kuondoa michirizi na kuongeza mvuto wa ngozi yako:-


1. Aloevera/Mshubiri:-

Aloevera ina uwezo mkubwa sana wa kutibu matatizo ya ngozi.


√Waweza paka Aloevera gel kwenye sehemu iliyo athirika, na kuiacha hapo kwa dakika 15 kisha osha na maji ya vuguvugu.


√Njia nyingine, waweza changanya

-Aloevera gel 1/4 kikombe

-Kamulia vidonge 10 vya mafuta ya

Vitamini E

-Na ongeza na vidonge 5 vya Vitamini A


2. Juisi ya limao.


Njia nyingine rahisi ya kuondoa stretch marks ni kutumia juisi ya limao. Juisi ya limao ina acid ambayo ina uwezo wa kuondoa au kupunguza kwa asilimia kubwa michirizi hiyo, na makovu mengine.

•Pakaa juisi hiyo katika eneo lililoathirika kwa circular motions.


√Acha juisi hiyo ikae kwa angalau dakika 10 kabla ya kusuuza na maji ya vuguvugu.


•Njia nyingine ni kuchanganya juisi ya tango na juisi limao kwa kiasi sawa {nusu kwa nusu} kisha pakaa na kusuuza baada ya dakika 15.


3. Sukari:-

•Changanya Sukari nyeupe, na Almond oil, na juisi ya limao kidogo, kisha pakaa katika eneo lililo athirika kwa dakika kadhaa, kila siku kabla ya kuoga.


Fanya zoezi hilo kwa muda wa wiki 3.


Kisha tupe mrejesho hapa- 🙏🏻🙏🏻


KAMA UMETUMIA NJIA TAJWA HAPO JUU HAZIJAKUPA MATOKEO MAZURI WASILIANA NAMI NIKUPE NJIA MBADALA PIGA SIMU NAMBA 0688426300 AU 0762291606


SHARE NA WENGINE MUNGU ATAKUBARIKI


Post a Comment

0 Comments