Kwa Majina Yangu N
aitwa Emmanuel Jiguwi Ninawasaidia Watu Mbalimbali Kutatua Changamoto Za Mifupa,Maungio Na Uzito Uliopitiliza(Unene).
:
Kwa Sababu Watu Wengi Wamekuwa Wakisumbuliwa Na Maumivu Makali Ya Maungio Na Hawajui Nini Chanzo Na Kipi Wafanye ili Kujikinga Na Kuondoa Maumivu Hao,Mimi Na Timu Yangu Tumejipanga Kutoa Elimu Na Ushauri[BURE] ili Kusaidia Kupunguza Au Kutokomeza Kabisa Janga Hili Ambalo Linawatesa Sana Wananchi Wengi..
:
Usisite Kuwasiliana Nasi Pia Kwa Namba Zifuatazo:-
0688426300
0762291606
#emmanueljiguwi #Successrace #Afyayamifupanaviungotanzania
0 Comments