Subscribe Us

header ads

TATIZO LA UGUMBA LINATIBIKA SOMA HII UJUE TATIZO NA SULUHISHO LAKE LEO.


TATIZO LA UGUMBA LINATIBIKA SOMA

HII UJUE TATIZO NA TIBA YAKE LEO


Tatizo la ugumba linatibika nimeona ni bora nielezee hapa kwa faida ya wote huenda hata wewe au ndugu yako unasumbuliwa na tatizo hili, kwa kifupi tatizo hili ni kubwa sana  kwa wanawake na wanaume takriban 30%_40%ya tatizo hili la Ugumba linawakumba wanaume na 40%_50% huwakumba wanawake wakati 10%-30% zilzobak ya tatizo hili husababishwa kwa pamoja na matatzo Kati ya mwanamme na mwanamke, 

 *UNAJUA MAANA YA UGUMBA??* 

Ugumba ni Ile hali ya mwanamme /mwanamke kupoteza uwezo wa kutungisha au kubeba mimba 

hii kwa mwanaume tunasema anashindwa kutungisha mimba ilhal anakutana kimwili na mkewe pasipo kutumia kizuizi na mkewe pia hatumii vizuizi vya mimba, Hali huwa hivi kwa upande wa mwanamke naye huwa anashindwa kubeba mimba ilhal hatumii dawa za Uzazi wa mpango ambapo pia anakutana na mumewe Bila Kinga ila anashindwa kupata ujauzito 

katika familia 5 zinazofanya mapenzi katika wakati muafaka wa OVULATION wakiwa na malengo ya kupata mtoto ni familia moja tu ndiyo inafanikiwa kupata mtoto, 

 AINA ZA UGUMBA

 1PRIMARY INFERTILITY 

Hii ni aina ya kwanza ya Ugumba ambayo yenyewe inawahusisha watu ambao hawakuwahi kubahatika kupata mtoto hata mmoja yan mwanaume anajitahid kutungisha mimba huku mwenza wake akiwa hatumii kizuizi mimba Lakin hafankiw na huku pia mwanamke anajitahid kubeba mimba ilhal hatumii dawa za Uzazi wa mpango Lakin hafankiw 

2 SECONDARY INFERTILITY

Hii ni aina ya Ugumba ambayo hutokea baadae yani ni baada ya mwanamke/mwanamme kuzaa/kuzalisha Mara Moja maishani mwao na hawafanikiwi kupata mtoto mwingne 

SABABU/VYANZO VYA UGUMBA 

👉UTOAJI WA MIMBA 

👉TATIZO LA HORMONE IMBALANCE (kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni kwa mwanamke) 

👉MATUMIZI YA DAWA/SINDANO ZA UZAZI WA MPANGO 

👉KUUGUA UGONJWA WA FANGASI UKENI KWA MUDA MREFU (VAGINAL CANDIDIASIS) 

👉KULEGEA KWA SHINGO YA KIZAZI 

👉KUWA NA MSONGO WA MAWAZO 

👉MATATIZO YA UZAZI OVARIES KUSHINDWA KUTOA MAYAI 

👉KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

 👉MATUMIZI YA POMBE/BANGI /SIGARA NI HATARI 

👉KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI WENYE HARUFU MBAYA 

👉KUSUMBULIWA NA MAUMIVU YA TUMBO WAKATI WA HEDHI KWA MUDA MREFU 

👉KUPATA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA NA KUWA NA MAUMIVU MAKALI CHINI YA KITOVU KWA MUDA MREFU 

👉MWILI KUWA MNENE KUPITA KIAS 

👉KUWA NA MAGONJWA YA ZINAA, KAMA KISONONO, PID, GONO NK 

👉 MWANAUME KUWA NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 

👉KUZIBA KWA MIRIJA YA KUPITISHIA MANII 

👉KUWA NA MBEGU CHACHE(low sperm count) 

DALILI ZA UGUMBA 

👉kutokushika mimba katika siku za hatari 

👉siku zako za hedhi kutokua katika mpangilio yani zinapishana na kubadilka tarehe kila wakati 

👉kupata Maumivu makali chini ya tumbo Mara kwa Mara 

👉mwili kuwa na manyoya kifuani au kuwa na ndevu nyingi 

👉kushindwa kushiriki tendo la ndoa/kutokufurahia tendo la ndoa kwasababu unapata maumivu makali 

👉kutokuwa na MSISIMKO 

👉kupata Maumivu makali chini ya kitovu upande wa kulia au kushoto kwa ndani 

👉kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa Zaidi ya Mara moja 

👉uume kushindwa kusimama 

👉kufika Kileleni mapema 

👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa 

🥗 *MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA* 🥗 

🍇Matibabu ya Ugumba huhusisha wenzi wote wawili na yanahtaji uvumilvu na uelewa kwasababu yanaweza kuchukua muda mrefu kuona matokeo, 

🍇matibabu haya hufanyika kwa kuangalia majibu kutoka ktk vipimo mbalimbali 

🍇Ni vizuri mtu kujikinga na tatizo hili kutokana na athari zake kuwa kubwa, 

*Au tumia virutubisho tiba kwa matokeo zaidi*

- Femicare ,Refined Yunzi na Zaminacal 

   *NJIA ZA KUJIKINGA NA TATIZO HILI* 

👉kuondoa mawazo 

👉kujikinga na magonjwa mbalmbal kama vile fangas, uti nk

👉acha kutumia dawa za Uzaz wa mpango 

👉jitahd uwe unachuguza vizuri afya yako 

👉mwanaume acha kutumia viagra na dawa za kemikal 

👉jiepushe na kansa na kisukar 

👉zingatia afya bora kwa kula mlo kamili 

👉punguza mwili 

👉acha kutumia dawa za kulevya na unywaji wa pombe ni hatari kwa afya yako,


KAMA UTATATIZO LA KUTOSHIKA MIMBA AU MIMBA KUTOKA KABLA YA WAKATI WASILIANA NAMI KWA USHAURI NA TIBA

0688426300 Au 0762291606

Post a Comment

0 Comments