NJIA RAHISI YA KUSIMAMISHA MATITI YALIYOLALA NDANI YA SIKU 7 TU.
Wadada na Wanamama wengi wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu kutafuta ufumbuzi wa kusimamisha matiti yaliyolala pasipokujua kwamba zipo njia salama za asili za kutatua changamoto hiyo.
Kwa uchunguzi mdogo uliofanywa nasi tumegundua kwamba idadi kubwa ya Wanawake hupata changamoto ya matiti kulala baada ya kujifungua na kupitia hatua ya kunyonyesha.
Pia zipo sababu nyingine mbali na hiyo tuliyotaja ambayo huweza kupelekea Matiti ya Mwanamke kulala. Dokta ameweza kutuelezea sababu kuu zinazopelekea matiti ya mwanamke kulala na njia za kusimamisha matiti.
SABABU ZA MATITI KULALA
-Afya kuwa mbovu/ lishe duni.
-Kuzaa.
-Kurithi.
NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI
1. Kwa kutumia yai, Vitamin E na Mtindi
MAHITAJI
Yai bichi moja au mawili +Mtindi robo litaVitamin E : Mafuta ya Alizeti robo lita.
MAANDALIZI
Chukua ute wa yai moja bichi kisha changanya na robo lita ya mafuta ya alizeti au mtindi robo lita, Koroga vizuri huo mchanganyiko kwa dakika 10 na hapo utakuwa tayari kwa matumizi.
MATUMIZI
Pakaa huo mchanganyiko kwenye matiti kuelekea chuchu za matiti yako mara moja kwa siku.
MATOKEO
Siku ya 7 baada ya kutumia dawa hii utapata matokeo mazuri Endelea kutumia dawa yako hadi utakapopata saizi ya matiti uipendayo.
2. Pia unaweza kutumia barafu ku massage matiti yako kwa muda wa dakika moja kila siku, massage maziwa yako rounded inaweza kusaidia kusamaisha maziwa yako..
BONYEZA LINK HII KUCHATI NAMI WHATSAPP SASA KWA USHAURI ZAIDI
https://wa.me/255688426300
BONYEZA LINK YA GROUP YA AFYA NA MAHUSIANO SASA UJIFUNZE MENGI ZAIDI
https://chat.whatsapp.com/DuDlniSxTRPKMjKlKAbbTk
LIKE PAGE NA SHARE ILI KUPATA MASOMO ZAIDI
0 Comments