Subscribe Us

header ads

Jinsi Virusi Vya Ukimwi Yaani(v.v.u) Vinavyo Punguza CD4 Mwilini.

 Jinsi Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) Vinavyo Punguza CD4 Mwilini.


CD4 ni aina ya protini inayopatikana katika ukuta wa seli zinazojulikana kama T-Helper Cells (pia hujulikana kama CD + Lymphocyte).

Virusi vya Ukimwi (VVU) hushambulia na kujishikiza kwenye protini hii kabla ya kupata uwezo wa kuathiri seli za T-Helper.

Seli hizi za T-Helper ndizo hulinda mwili dhidi ya maambukizi mbalimbali na hivyo kuchangia katika kustawi kwa kinga ya mwili.

Kupungua kwa seli hizi mwilini husababisha kupungua kwa kinga ya mwili na hivyo mtu kupata magonjwa nyemelezi.


Usisite Kuwasiliana Nasi Kwa Ushauri[BURE] Kuhusu Maswala ya Afya na Magonjwa Sugu Piga simu Namba 0688426300/0762291606


Post a Comment

0 Comments