Subscribe Us

header ads

Ni Nini Chanzo Cha Maumivu Ya Mgongo,Kiuno Na Nyonga Kwa Wajawazito Wengi.


Ni Nini Hasa Chanzo Cha Maumivu Ya Kiuno Na Nyonga Kwa Wajawazito?


Wanawake wengi wajawazito hukumbwa na maumivu ya  Kiuno na mgongo.  Hii Ni Kutokaba Na Uzani wa mtoto, uterasi na kiowevu cha amnioni hubadili mkao wake na kuweka mkazo kwenye mifupa na misuli ya mwanamke huyo. Kusimama mahali pamoja kwa muda mrefu, kuinama au kazi nyingi za sulubu, zinaweza kusababisha maumivu ya Kiuno na  mgongo. Aina nyingi za maumivu ya mgongo ni kawaida katika ujauzito lakini pia zinaweza kusababishwa na maambukizi ya figo.


Jinsi Ya Kumsaidia Mjamzito Anayepata Maumivu Ya Kiuno Na Mgongo.


Mume, watoto, jamaa wengine au marafiki wa mwanamke huyu Wanatakiwa kuusinga mgongo wake Kwa Kitambaa chenye joto au chupa yenye maji moto kwenye mgongo wake pia vinaweza kumtuliza. Pia jamaa zake wanaweza kusaidia kwa kufanya baadhi ya kazi nzito kama vile kubeba watoto wadogo, kufua, kulima, na kusaga nafaka. Chupi inayokaza, au mshipi unaovaliwa kwenye nyonga, pamoja na kupumzika kitandani mara kwa mara kunaweza kupunguza maumivu ya mgongo. Asanteni


Usisite Kuwasiliana Nasi Kwa Ushauri[BURE] Juu Ya Changamoto Za Afya Piga Simu Sasa

0688426300/0762291606


#emmanueljiguwi #Mjamzito #Maumivu #joint

#Afyayamifupanaviungotanzania #Upasuaji

#kiuno #Nyonga #Sinusinfection #Majimoto

#Pingili #sarataniyamufupa #Magoti #Health

Post a Comment

0 Comments