Je ? Bado Unafanya Makosa Haya Katika Kupunguza Uzito Wa Mwili ?Hautopungua Kamwe..
:
Kumekumekuwa na Makosa Mengi Yanayofanywa na Watu Pindi Wanapohitaji Kupunguza Uzito Lakini Leo Nitakujuza Mambo Makuu Mawili Ambayo Umekuwa Ukiyafanya Kwa Kujua Au Kutojua Wakati Unapunguza Uzito Na Ndio Maana Hupungui Kamwe..!
:
Jambo La kwanza Ni Hufahamu ni Aina gani ya uzito Unaotaka Kupungua Yaani (kg) Ngapi Kutoka Kwenye Uzito Ulio nao Sasa Hivi,wewe Unataka tu kuona Namba za kilo zinashuka Chini,Hili ni Kosa Kubwa Sana..!
:
Na Jambo La Pili na La mwisho Kwa Leo Ni Hujui Unatakiwa Kupungua Wastani Wa kilo(Kg) Ngapi Kwa Muda Fulani Utakaojiwekea inaweza Kuwa wiki Au mwezi ili kufanikisha malengo yako ya kupunguza Uzito Wa Mwili..! Na Hili Ni Kosa Pia
Nambie Sasa Huwa Unaweka Malengo yanayoendana Na Kile Unachokihitaji ?
Usisite Pia Kuwasiliana Nasi Kwa Ushauri[BURE] na Msaada Zaidi Kuhusu Tatizo Lolote la Afya Na Magonjwa Sugu Tupigie 0688426300 Au 0762291606
#weightloss #Diet #Punguzauzito #Kitambi #Mafutamwilini #emmanueljiguwi #Afyayamifupanaviungotanzania
0 Comments