Subscribe Us

header ads

TATIZO LA KUKAZA AU KUKAKAMAA KWA MISULI(MUSCLES SPASMS) NA SULUHISHO LAKE.

TATIZO LA KUKAZA AU KUKAKAMAA KWA MISULI(MUSCLES SPASMS) NA SULUHISHO LAKE


.

Kukaza kwa misuli ya miguu ambapo huambatana na maumivu makali ni hali ambayo huwapata watu Wengi Hasa Wenye Umri Kuanzia Miaka 30.


Misuli hukaza Mara nyingi wakata wa usiku mtu anapokuwa  amelala.


Kuna mambo yanayosababisha misuli kukaza baadhi ya mambo hayo ni kama:


Upungufu wa maji Mwilini,Kuongezeka kwa uzito mkubwa ambao mwili unabeba Mzigo mzito Sana.


Upungufu wa madini ya Calcium na Magnesium .

Kuongezeka kwa msukumo wa damu kwenye miguu .


Mambo ya kufanya kuzuia hii hali :


 jitahidi kula mlo kamil hasa vyakula vyenye calcium na Magnesium kama maziwa ,samaki, dagaa ,mbengu za aina mbalimbali kama za maboga, juice ya ubuyu na vinginevyo.


Mama kunywa maji ya kutosha Lita 3-5 kwa siku.


Lala upande wa kushoto ili kusaidia damu isukumwe kirahisi mwilini.

Unapolala unaweza weka mito katikati ya miguu.


Massage ya miguu pia husaidia kupunguza kukaza kwa misuli  ya miguu.

Usisimame muda mrefu.


Kuoga  maji ya moto kabla ya kulala husaidia misuli kurelax hivyo kupunguza kukaza kwa  misuli.

pendelea kunywa  maji yenye tangawizi pia husaidia kuzuia tatizo hili.


JE? UNASUMBULIWA NA TATIZO LOLOTE SUGU USISITE KUWASILIANA NASI KWA USHAURI BURE NA MSAADA ZAIDI PIGA

0688426300/0762291606


#Emmanueljiguwi #Musclespasms #Hip

#Afyayamifupanaviungotanzania #kiuno

#magoti #Maumivu #nyonga #mgongo

Post a Comment

0 Comments