Subscribe Us

header ads

FAHAMU UGONJWA WA MAFINDOFINDO(TONSILS) NA SULUHISHO LAKE.


FAHAMU UGONJWA WA "MAFINDOFINDO (TONSILS)".


"Je, umewahi kufikiria ukajua nini kinachokuwa nyuma ya koo lako? 

"Mbali na kilimi kinachoning’inia kwa juu nyuma ya koo lako, kwa pembeni huwa kuna tishu mbili zimetuna pembeni mwa koo lako ambazo kitaalamu tunaita mafindofindo au “Tonsils”.


NUKUU: Kazi zake mara nyingi huwa ni kuzuia vimelea kama vile bakteria pamoja na virusi. Mafindofindo yanaweza yakapata maambukizi na yakawa mekundu na hata kuvimba kabisa. Hali hii inapojitokeza ndio hujulikana kama “tonsillitis”


JE? NINI HUSABABISHA MAFINDOFINDO KUVIMBA?


Mafindofindo yanaweza kuathiriwa na virusi, bakteria au ulaji au unywaji wa vitu vibaya. Na mara nyingi virusi ndio hushambulia sana kuliko bakteria. Kwa kawaida madhara ya mafindofindo hutokana na mambo yafuatayo:


Ulaji wa pilipili na vitu vikali kama vile embe bichi, limau, nk.

Kunywa vinywaji vya baridi kama vile maji, soda, juisi, barafu au ice-cream, nk

Kisonono(Gonorrhea)

Maambukizi ya HIV


JE? DALILI MAFINDOFINDO ZINAKUWAJE?


Dalili za mafindofindo zinaweza zikatofautiana kutokana na vimelea au aina za bakteria au virusi waliosababisha maambukizi au vyakula na vinywaji ulivyokuwa ukitumia, lakini mara nyingi sana mgonjwa hulalamika koo linauma. Dalili zinaweza kuanza kujitokeza taratibu au haraka na zinaweza zisiwe mbaya sana au zikawa za kawaida tu. Dalili hizi huwa kama ifuatavyo:


-Vidonda kwenye koo

-Kushindwa kumeza chakula

-Sauti kukwama

-Kuvimba kwa matezi shingoni

-Koo kuwa jekundu

-Kutokwa na usaha au vitu vyeupe kwenye mafindofindo (tonsils)

-Homa

-Kukosa hamu ya kula

-Kuhisi kichefuchefu

-Kutapika

-Kuhisi maumivu ya tumbo.


SULUHISHO LAKE


Usihofu : tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya uvimbe aina mbali mbali na ugonjwa wa mafindofindo (tonsillitis), Goita ( Goitre ) , Fibroids na Tezi tume Bila Kufanya Upasuaji". 


Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi: 0762291606au 0688426300( whatssapp ).

Post a Comment

0 Comments