FAHAMU KWA NINI VIJANA WA KITANZANIA HATUFANIKIWI MAPEMA KIMAISHA:-
Ni kwanini vijana wa kitanzania hatufanikiwi kimaisha kwa muda sahihi?Yaaani ni vigumu kumuita kijana 18-35 ana maisha " kamili".
Ukweli nikwamba Vijana wakitanzania tumekoswa njozi na uthubutu.
Njozi ni lengo unaloweza kuliweka nakulifikia kwa muda fulani kupita . Uthubutu ni utayari wa kulifanya lengo lako katika matendo. Iko hivi, kila kitu duniani hapa kama sio cha Mungu ni cha mwanadamu na aliyekianzisha kama nimwanadam nisababu alikua na njozi, embu fikiria, mtu anafika mwezini,
Vyombo vinatumwa sayari za mbali, Leo hii ndege haziongozwi na rubani mpaka sasa kuna magari yasiohitaji dereva mwingine yanapita juu ya maji na mengine yanapaa, hii ni baadhi ya mifano ambayo waasisi wake walikua na njozi.(POWER OF IMAGINATION hasa has in a subconscious mind ). Siku zote anayefanikiwa niyule mwenye njozi, anayefikiria behind the door yaani unafikiria baada ya miaka kumi utakua nani? Miaka sitini utakua wapi?
Swali kubwa linaloniumiza ni hili, je kijana wa kitanzania anaweza kuweka lengo ambalo atalitimiza bila kujali muda atakaokua ameutumia? Unaweza weka njozi ukafaidika nayo baada ya miaka 10?
Kwa bahati mbaya, vijana wamejikuta wanakua wabinafsi kwanza kwa maisha yao wenyewe, na kwa jamii inayomzunguka yaani mtu anaona kama anapoteza au atafaidisha wengine (hapa mbongo hawezi fanya kitu kitakachokua nafaida kwa wajukuu, for sure , kila nikiwaangalia watoto nafurahi kwakua ujana wao watafurahi sana).
Maendeleo hayaletwi na mawazo yale yale, lazima tuwe na watu wanaofikiria vitu visivyofikirika iwe ni family au jamii au taifa zima. Ni lazima kijana uwe na NJOZI NA BAADAE UTHUBUTU KUFANYA NJOZI YAKO KWA MATENDO.
Nikiwa mdogo nilikua napenda ule mchezo wa kuchoma karatasi kwa kutumia Lenzi, ili uwashe moto ilinilazimu ku concentrate lenzi katika miale ya jua kisha moto huo, kupitia mchezo huu nmekuja kugundua fanikio lolote la maisha linaitaji POWER OF CONCENTRATION.
Nivema sana, kuweka Njozi, Thubutu na Concentrate katika njozi yako, moto lazima uwake tuu. Kinyume na hapo naomba tuendelee kulala ili tuzidi kuota njozi zetu, tukitegemea pesa ya mafao ya uzeeni ndo tujenge.
TUNAHITAJI VIJANA 100 WENYE NDOTO AMBAO NI WABUNIFU NA WANAOFUNDISHIKA HARAKA KWA AJILI YA MRADI WETU AMBAO UNAENEA KWA KASI TANZANIA WASILIANA NASI KWA NAMBA 0688426300 MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM
0 Comments